Picha ya Zari the Bossylady akiwa ktk Ubora wake.
Zari mwanamke ambaye kwa muda mrefu amekuwa akijitokeza mbele ya umma kama mwanamke mwenye kujiheshimu, na anayetaka kuwa mfano kwa jamii na wanawake wenzake, anashiriki kutoa ujumbe kuhamasisha maendeleo mara nyingi kupitia mitandao ya kijamii kama ilivyo kwa wanawake maarufu duniani.
Moja ya picha zilizoonyesha uwepo wa "Project" kati ya Zari na Diamond Platinumz
Pamoja na juhudi kubwa aliyofanya, ktk kuhamasisha watu kujiheshimu na kutumia mitandao hiyo kufikisha ujumbe wa kuitaka jamii na watumiaji kujiheshi, hali hiyo imemgeukia na kuporomosha heshima yake mbele ya jamii baada ya picha za video chafu zikimwonyesha akifanya ngono kusambaa kwenye mitandao mbalimbali. Katika kuonyesha kujutia kitendo hicho, Zari amekiri kuwa kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na "pepo wa ngono" jambo ambalo limekuwa likimfanya kuwa na hamu ya kufanya ngono kila mara bila kuchoka.
Zari pamoja na vimbwanga vyote hivyi bado ni mama wa vijana hawa watatu, picha hizi ndio zilizosababisha baadhi ya mashabiki wa @DiamondPlatinumz kudai kuwa mwanamama huyo hamfai kwani anamzidi umri, huku wakionyesha kukerwa na msanii huyo maarufu barani afrika kuvunja uhusiano na msanii mwengine maarufu #WemaSepetu.
"Masuala haya ya kufanya mapenzi na kurekodi niliyafanya muda mrefu, inanishangaza mpaka leo huyu jamaa bado anazo picha hizi" alisikika Zari akiongelea tukio hilo huku akihusisha usambazaji wa video huo umekuwa ukifanywa na mpenzi wake wa zamani ambaye amembwaga. Akiendelea kuelezea tukio hilo, Najuta kufanya vitendo hivyo kwa sababu najua kuna video nyingi ambazo huwenda zikaendelea kusambazwa japokuwa nilikuwa na kiu kubwa ya kufanya mapenzi na ndio sabb ya kuwepo video hizi kutokana na "kiu ya mapenzi" niliyokuwa nayo sikuweza hata kuzuia kitendo hiki kisifanyike, nimefanya sana mapenzi na kurekodiwa na huo ndio wasiwasi wangu kama ataendelea kusambaza basi huwenda zikawepo picha nyingi zaidi alisema Zari.
Wakielezea hali hiyo watu waliyokaribu na mwanamama huyo wanahofia huwenda picha nyingine zikaendelea kusambazwa iwapo wawili hao watashindwa kuketi na kuona jinsi ya kumaliza matatizo yao
Zari hivyi sasa ana wasiwasi sana kuwa picha nyingine zikatoka tena huwenda zikawa mbaya zaidi kuliko ambazo tumeshaziona jambo ambalo litachagiza vyombo vya usalama kuingilia kati na kumkamata kwa makosa ya kusambaza picha chafu mtandaoni" alisema mmoja wa marafiki zake wa karibu.
Wachunguzi wengi wa mambo ya wasanii na burudani wameeleza kitendo cha Zari kukiri kuwa alikuwa na "kiu kubwa ya Mapenzi" wakati picha hizo zikirekodiwa ni mbinu ya kukwepa mkono wa sheria.
Habari za mwanamama huyo raia wa Uganda ambaye inasemekana kuwa ukwasi mkubwa zimekuwa gumzo zaidi kwenye eneo la Afrika Mashariki baada ya hivyi karibuni kuonekana kwenye picha mbalmbali akiwa na msanii maarufu anayekuja juu, Diamond Platinumz ambaye inasemekana kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye naye ni msanii maarufu Wema Sepetu, wawili hao inasemekana hivyi sasa wametengana baada ya Diamond kuangukia kwenye penzi la mwanamama Zari ambaye kiumri inadaiwa kumpita Diamond kwa zaidi ya miaka kadhaa.
Picha za hivyi karibuni bibi @Wema Sepetu akiwa ktk Ubora wake!!
Picha kwa hisani ya mitandao mbalimbali ya jamii.