Stateman speech! Hii ni hotuba ambayo kwa miaka mingi iliyopita taifa lilikosa kusikia sauti na maneno yaliyojaa uzalendo, utu, utaifa na kiwango cha juu cha hekima na mpangilio wa maneno yanayoendana na uso uliyojaa masikitiko lakini wenye kuashiria matumaini mbeleni!!
Unknown | 10:49 AM | 0
comments
Labels:
statesmanspeech
MTV belarusi yatekwa na magaidi kisha wakaweka picha za ngono, mchana kweupe! Wazazi watoka mkuku kuwahi majumbani kuwazuia watoto!!
Unknown | 7:18 AM | 0
comments
Labels:
vituko
Catholic priests unmasked: 'God doesn't like boys who cry' | World news | The Observer
Unknown | 1:12 AM | 0
comments
English; Miujiza ya kweli!! Mlinzi wa gereza linaloogopeka duniani kwa mateso dhidi ya wafungwa, abadilisha dini kuwa muislamu baada ya kuwaona wafungwa wakiamka asubuhi wametabasamu na nyuso zao angavu
Unknown | 4:27 AM | 0
comments
Gitmo Prison Guard Converts From Atheism To Islam After Seeing Detainees ‘Wake Each Day And Smile’ - http://pulse.me/s/klGDH
Labels:
Uislamnajamii
Bashe apasua jipu, Ili CCM ishinde 2015 lazima wafanye uchaguzi huru bila mizengwe na kumpitisha mtu anayekubalika na pia anauzika kwa vijana
Unknown | 4:15 AM | 0
comments
Labels:
2015,
uchaguzitz
English: Inakuwaje waafrika kuendelea ku sapoti Obama kwa lipi zuri?
Unknown | 9:11 AM | 0
comments
Labels:
englishnews
English: Rais Obama amzimikia mwanasheria mrembo wa jimbo la california
Unknown | 8:52 AM | 0
comments
President Obama Apologizes to Kamala Harris, Can Still Mislead on Guns, Sequester, Propose a Budget No One Likes - http://pulse.me/s/kkaTg
Labels:
englishnews
Uingereza yakiri kuhusika na Mapinduzi.
Unknown | 5:58 AM | 0
comments
Hakuna suala la Wananchi kupindua serikali wala mapinduzi ya nchi za mashariki!! kumbe yote yalipangwa na serikali ya Uingereza kwa malengo yake maalum na kwa faida na maslahi ya wakoloni
UK admits to illegal regime change agendas
UK admits to illegal regime change agendas
Wakili Maarufu na Bilionea Ajiua akiwa Hospitali
Unknown | 2:36 AM | 0
comments
Giza limeukumba Mkoa wa Arusha baada ya kutokea vifo vya ghafla vya watu maarufu. Jana Wakili Nyaga Mawalla alifariki baada ya kujirusha kutoka ghorofani akiwa jijini Nairobi, Kenya alikokwenda kwa matibabu.
Habari zilizopatikana zinaeleza kuwa Nyaga alikufa baada ya kujirusha kutoka katika jengo la ghorofa ya hospitali aliyokuwa akitibiwa jijini Nairobi usiku wa kuamkia jana.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Mawalla Advocate, John Minja aliliambia gazeti hili kuwa mwili wa marehemu ulitarajiwa kurejeshwa nchini jana.
“Hali yake haikuwa mbaya, kwani juzi mchana tulizungumza naye tukitaka kwenda kumsalimia lakini, alitueleza kuwa angerejea jana nchini,”alisema Minja.
Hata hivyo, bado haijajulikana sababu za kujiua, lakini baadhi ya ndugu zake wanasema ni kutokana na msongo wa mawazo.
kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali mjini Arusha vimeeleza kuwa wakili Nyaga Mawalla alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu na tayari alikwisha kufanyiwa operasheni ya moyo nchin afrika kusini kwenye miaka ya nyuma, vikiendelea vyanzo hivyo vilidai kuwa muda mrefu sasa wakili huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi hayo.
Taarifa za kifo cha Mawalla anayemiliki kampuni kadhaa ikiwamo Kampuni ya uwakili ya Mawalla Advocates, kimeshtua wengi akiwamo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyesema taifa limepoteza kijana mwenye maono, akili na mjasiriamali aliyetajirika bila kuiba.
“Nimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Nyaga. Licha ya udogo wake kiumri, lakini alikuwa mshauri wangu kwenye mambo mengi kiuchumi, kibiashara na kijamii. Nyaga alikuwa kiongozi wa jamii asiye na mipaka katika huduma tofauti na wafanyabiashara wengi nchini walishirikiana naye,” alisema Mbowe.
Mawalla ambaye ni mtoto wa wakili wa kwanza wa kujitegemea nchini, Juma Mawalla alikuwa jijini Nairobi kwa matibabu ya kupungaza sumu mwilini kutokana na madhara ya matumizi ya dawa za shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Wakati kifo hicho cha ghafla cha Mawalla kikitokea, Jiji la Arusha pia linaomboleza kifo kingine cha ghafla cha mfanyabiashara maarufu wa madini, Henry Nyiti kilichotokea mkoani Morogoro.
Nyiti ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Interstate yenye makao yake makuu eneo la Tengeru, wilayani Arumeru alifariki usiku wa kuamkia juzi akiwa Mahenge alikokwenda kwa ajili ya shughuli za uchimbaji madini na anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake eneo la Akheri, Arumeru keshokutwa Jumanne.
Akimzungumzia wakili Mawalla, Mbowe alisema mchango wake kwa maendeleo ya jamii hautasahaulika hasa kutokana na kujitolea kuendeleza taaluma ya uwakili kwa kudhamini tuzo ya wakili kijana kwa kutoa dola 5,000 kila mwaka kumsomesha mshindi wa tuzo hiyo.
Mbowe ambaye mwezi uliopita alipokea hati ya kiwanja chenye thamani ya Sh500 milioni iliyotolewa kwa Taasisi ya Maendeleo Arusha (ArDF) na wakili huyo kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto, alipendekeza hospitali hiyo iitwe Nyaga Mawalla Memorial Hospital kama njia ya kumuenzi.
Fred Lowassa, mtoto wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa alimwelezea wakili Mawalla kama kijana aliyeonyesha nidhamu tangu akiwa shule na aliendelea nayo hadi kwenye kazi na shughuli za kiuchumi kiasi cha kufanikiwa na kutumia utajiri wake kusaidia jamii. “Kifo hiki ni pigo siyo tu kwa Arusha bali taifa zima la Tanzania.”
Mchango wa Mawalla kwenye kuendeleza sekta ya elimu, hasa sheria umetukuka ndiyo maana alijitolea hata kufundisha bila malipo kwenye vyuo vikuu kadhaa nchini,” alisema Lowassa.
Pamoja na kujitolea kwenye shughuli mbalimbali za kimaendeleo, Mawalla pia alikuwa mfadhili wa watoto kadhaa wenye mahitaji maalumu ambapo hadi mauti yanamkuta, alikuwa akisomesha wanafunzi kadhaa katika ngazi mbalimbali kuanzia elimu ya msingi hadi chuo kikuu.
Nyumbani kwake anaishi na zaidi ya watoto saba ambao amewachukua kutoka sehemu na familia mbalimbali nchini anaowalea, kuwahudumia na kuwasomesha kama watoto wake wa kuwazaa.
Ingawa haikuweza kujulikana haraka kutokana watu walio karibu naye wote kudaiwa kuwa jijini Nairobi, mwili wa wakili huyo unatarajiwa kuletwa nchini kati ya leo na kesho na kupelekwa moja kwa moja katika chumba cha kuhifadhi maiti cha KCMC, mjini Moshi kusubiri maziko yanayotarajiwa kufanyika nyumbani kwao Marangu.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Huu ni ufisadi wa aina nyingine! Waziri mkuu wa uingereza anafuatilia anatumia magazeti na redio kujua maamuzi ya serikali yake, hpa swali ni je hizi serikali duniani nani anazimiliki na kuziendesha??
Unknown | 7:16 AM | 0
comments
http://www.dailymail.co.uk/news/article-2261652/Camerons-ex-strategy-advisor-Steve-Hilton-reveals-PM-finds-government-policy-news-reports.html ... #MailOnline
Mgana Msindai awataka wana CCM Singida kufanya kazi halali ili kujiletea maendeleo
Unknown | 12:39 AM | 2comments
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Singida, Mgana Izumbe Msindai akihutubia kwenye mkutano
wa hadhara uliofanyika kwenye kituo cha zamani cha mabasi mjini Singida,
Msindai alikuwa akijitambulisha kuvunja makundi na kupokea kero
mbalimbali za
Labels:
SIASA
Kuzinduliwa kwa mradi wa E-Government Zanzibar kutawezesha Serikali kuendesha shughuli zake kwa njia ya kitaalamu zaidi.
Unknown | 12:36 AM | 0
comments
Afisa
Usalama wa Mradi wa E-Governmet Ali Mohamed Khitu akimfahamisha Rais
Shein mchoro unaoonesha jinsi Waya wa Mradi huo ulivyosambazwa katika
Visiwa vya Unguja
Labels:
ZANZIBAR
Subscribe to:
Posts (Atom)