Afisa
Usalama wa Mradi wa E-Governmet Ali Mohamed Khitu akimfahamisha Rais
Shein mchoro unaoonesha jinsi Waya wa Mradi huo ulivyosambazwa katika
Visiwa vya Unguja
na Pemba na kuwawezesha kugundua uharibifu popote pale
utakapotokea.
Balozi wa
Watu wa China nchini Tanzania Lu Youqing akimkabidhi zawadi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa E-Government ikiwa ni shamra shamra
za miaka 49 ya Mapinduzi.
0 comments:
Post a Comment