Huu ni ufisadi wa aina nyingine! Waziri mkuu wa uingereza anafuatilia anatumia magazeti na redio kujua maamuzi ya serikali yake, hpa swali ni je hizi serikali duniani nani anazimiliki na kuziendesha??

Unknown | 7:16 AM | 0 comments

http://www.dailymail.co.uk/news/article-2261652/Camerons-ex-strategy-advisor-Steve-Hilton-reveals-PM-finds-government-policy-news-reports.html ... #MailOnline

Mtoto wa Mkulima

Unknown | 5:35 AM | 0 comments

Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano Tanzania Mh Pinda akiwa na majirani zake alipowatembelea

Uzinduzi wa Blog yetu kwa majaribio

Unknown | 5:31 AM | 0 comments

Mgana Msindai awataka wana CCM Singida kufanya kazi halali ili kujiletea maendeleo

Unknown | 12:39 AM | 2comments
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Mgana Izumbe Msindai akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kituo cha zamani cha mabasi mjini Singida, Msindai alikuwa akijitambulisha kuvunja makundi na kupokea kero mbalimbali za

Kuzinduliwa kwa mradi wa E-Government Zanzibar kutawezesha Serikali kuendesha shughuli zake kwa njia ya kitaalamu zaidi.

Unknown | 12:36 AM | 0 comments
Afisa Usalama wa Mradi wa E-Governmet Ali Mohamed Khitu akimfahamisha Rais Shein mchoro unaoonesha jinsi Waya wa Mradi huo ulivyosambazwa katika Visiwa vya Unguja
 
Support : MJASIRIA HABARI | SALUM ALLY
Copyright © 2013. mjasiriahabari - All Rights Reserved
Template Modify by TheChoiceTz
Designed By TheChoiceTz